Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU: Ameninyima tunda licha ya kuishi pamoja mwaka mmoja, hii ni haki kweli?
Mwanadada akimganda mwanamume kimapenzi. Picha|Maktaba
SWALI: Nimekuwa na mpenzi kwa karibu mwaka mmoja. Amekuwa akinitembelea nyumbani kwangu na nimefanya juu chini kumuonyesha mapenzi. Lakini amenikataza kabisa kuonja asali. Ananipenda kweli?
Jibu: Uhusaino wa kimapenzi unahitaji maelewano kati ya wahusika. Kama mpenzi wako amekwambia hawezi kukutimizia ombi lako kwa sasa, itabidi ungoje hadi atakapokuwa tayari. Usimlazimishe.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO