Shangazi Akujibu

SHANGAZI AKUJIBU: Baba yangu yuko hai ila kamwe hataki tukutane, ninaumia sana moyoni

Na SHANGAZI November 21st, 2025 Kusoma ni dakika: 1

SWALI: Shikamoo Shangazi. Nimegundua baba yangu yuko hai lakini hataki tukutane. Alinidanganya atanitafuta ila sijaona hadi leo. Naumia sana. Nifanye nini?

Jibu: Kukubaliwa na mzazi ni baraka, lakini kukataliwa si mwisho wa maisha. Mpe muda. Usilazimishe.

IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO