Shangazi Akujibu

SHANGAZI AKUJIBU: Baba mtoto hataki kuchangia hata shilingi moja kwa ajili ya malezi

Na SHANGAZI December 1st, 2025 Kusoma ni dakika: 1

SWALI: Kwako shangazi. Mume wangu wa zamani hataki kujukumika. Kila nikimtafuta kuhusu masuala ya malezi ya watoto wetu, anatoa vijisababu. Ninaomba ushauri.

Jibu: Huyo si baba—ni mzazi wa kibiolojia tu. Usipoteze nguvu kumlilia. Fuata sheria kwani mtoto wako anastahili malezi, si visingizio. Wewe simama imara kwa ajili yake.

IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO