Shangazi Akujibu

SHANGAZI AKUJIBU: Nilipata mpenzi akisaka namba ya siri ya simu

Na SHANGAZI December 10th, 2025 Kusoma ni dakika: 1

SWALI: Nilimkuta mpenzi wangu akijaribu kufungua simu yangu bila ruhusa. Anasema anahakikisha sina mwingine. Hii ni sawa?

Jibu: Hiyo sio sawa. Uaminifu haujengwi kwa kuchunguza, hujengwa kwa kuaminiana. Muwe na mpaka.

IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO