Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU: Mke anasema sahani 2 nilizopasua zitaiponza ndoa yetu
Picha ya aina tofauti tofauti ya sahani. Picha|Maktaba
SWALI: Vipi shangazi. Mke wangu ameniambia nimevuruga amani ya ndoa yetu kwa kupasua sahani mbili. Naogopa kuna jambo analoficha. Nipe ushauri.
Jibu: Huenda kuna jambo fiche. Zungumza naye kwa utulivu ili ujue kiini cha hasira yake.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO