Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU: Mpenzi amehepa baada ya kunipachika mimba
Mwanamke mjamzito. Picha| Maktaba
SWALI: Tangu mpenzi wangu anipachike mimba, amejitenga sana. Hashiki simu zangu wala kujibu SMS ninazomtumia. Sijui nifanye nini.
Jibu: Kujitenga kwake baada ya mimba ni dalili ya kutowajibika. Jaribu mazungumzo ya moja kwa moja ili kupata msimamo wake. Akikwepa bado, anza kuangalia maisha yako na ya mtoto wako.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO