Shangazi Akujibu
SHANGAZI AKUJIBU: Mzee amenywea nyumbani lakini kule nje anabweka!
SWALI: Pokea salamu zangu Shangazi. Mume wangu hatoi maamuzi nyumbani, ni kama kibogoyo. Hata akiona shida ananyamaza tu hadi mimi mwenyewe ninasuluhisha.
Jibu: Ukimya wake ni uamuzi pia. Mhamasishe kushiriki. Familia huhitaji ushirikiano, si mtazamaji.
IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO