Shangazi Akujibu

SHANGAZI AKUJIBU: Sipati hata jombi chwara wa kuniuliza jina, kunani?

Na SHANGAZI December 23rd, 2025 Kusoma ni dakika: 1

SWALI: Niaje Shangazi, naona miaka inasonga sana na sijapata jamaa hata wa kuniuliza jina. Sijui sipendezi au nini kasoro langu?

Jibu: Ndoa si kipimo cha thamani. Jenga maisha yako kwanza. Mapenzi ya dhati haiji kwa hofu.

IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO