BI TAIFA MACHI 06, 2020

Sheila Gitiha 21 ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu Cha Kabarak Bewa kuu.  Yeye ni mwanafasheni, mara nyingi anapenda kusafiri, kusoma na kuogelea.
Picha/Richard Maosi