BI TAIFA APRILI 17, 2020

Hannah Koi Mark, 22,ni mwenyeji wa kaunti ya Taita Taveta, yeye ni mlimwende wa mitindo ya kiasili na mtafiti wa fasheni. Uraibu wake ni kusafiri.
Picha/Richard Maosi