BI TAIFA OKTOBA 16, 2020

Linda Jemutai ni mzaliwa wa Kaunti ya Uasin Gishu, amehitimu miaka 25. Yeye ni mfanyibiashara kutoka Nakuru. Uraibu wake ni kusakata densi na kutazama filamu ya Soap Opera. Picha/Richard Maosi