• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 7:55 AM

Wachuuzi wa ahadi hewa

Na WAANDISHI WETU WANASIASA nchini sasa wameanza kutoa ahadi za kila aina kwa wananchi ili kuwanasa kwenye ndoano zao huku uchaguzi mkuu...

Joho alipa Sh1m kuwania tiketi ya urais ya ODM kabla ya Raila

Na JUSTUS OCHIENG Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho ndiye mwanasiasa pekee ambaye kufikia sasa amewasilisha ombi la kusaka tiketi ya ODM...

Makuhani wa usaliti

Na WANDERI KAMAU MVUTANO na majibizano ya kisiasa yanayoshuhudiwa kati ya Rais Uhuru Kenyatta na Naibu Rais William Ruto ni matokeo ya...

Utarukwa 2022, Ruto aonya Raila

Na BENSON MATHEKA NAIBU Rais William Ruto amemuonya kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga kwamba ataona kivumbi iwapo anasubiri kuungwa...

Wahubiri waelezea hofu yao kuhusu taharuki ya kisiasa

Na Joseph Openda BAADHI ya viongozi wa kidini katika Kaunti ya Nakuru wameelezea wasiwasi wao kufuatia kile walichosema ni ongezeko la...

Wakenya njaa viongozi wakipiga domo

NA MWANDISHI WETU HALI sio hali tena kwa mamilioni ya Wakenya wa kawaida kutokana na usimamizi mbaya wa uchumi chini ya utawala wa...

Wanaojiita ‘mahasla’ kusukumwa jela

Na GUCHU NDUNG’U WAKENYA wanaojiita ‘mahasla’ wataanza kusukumwa gerezani wabunge wakipitisha pendekezo la kufanya mjadala huo...

Siasa za Raila, UhuRuto zatishia amani

NA BENSON MATHEKA MIENENDO ya wanasiasa wakuu nchini kuhusu mpango wa BBI na uchaguzi mkuu wa 2022, inatishia kutumbukiza Kenya kwenye...

Joho ashauriwa kuhusu urais 2022

Na WINNIE ATIEO GAVANA wa Mombasa Hassan Joho ametakiwa kuwapatanisha viongozi wote wa Pwani kabla hajatangaza azma yake ya kuwania...

Wanamuziki wajiandaa kuvuna vinono siasa za 2022 zikinoga

Na NICHOLAS KOMU WANAMUZIKI Mlima Kenya wameanza kuchukua mirengo tofauti ya kisiasa, uchaguzi mkuu wa 2022 unapokaribia na kampeni za...

Msimu wa utapeli waanza

Na BENSON MATHEKA WANANCHI wameombwa kuwa macho dhidi ya kutapeliwa na wanasiasa ambao wameanza kuwatembelea mashinani kwa nia ya...

Ruto na Raila hawafai kupuuza agizo la Rais

Na LEONARD ONYANGO MNAMO Januari 3, mwaka huu, Rais Uhuru Kenyatta alipiga marufuku mikutano yote ya kisiasa; viwanjani au kando ya...