• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 9:50 AM

Binti wa chuo aeleza anavyovuna Sh300,000 kila mwezi kutokana na useremala

Na MAGDALENE WANJA Alipokuwa mchanga, Bi Parky Kamau alikuwa na mazoea ya kuandamana na mamaye kuelekea sokoni Gikomba ambako alipenda...

AKILIMALI: Aliacha ubawabu sasa anapepea katika kilimo cha mboga akijikimu

Na PATRICK KILAVUKA ALIACHA kazi ya ubawabu baada ya kuifanya kwa mwezi mmoja kutokana na malipo duni na kuyoyomea katika ukulima...

RIZIKI: Mtangazaji wa redio asiyechagua kazi

Na SAMMY WAWERU KIJANA John Ngugi ni ‘Jack wa biashara zote’, ambapo mbali na kuwa mtangazaji wa redio, hufanya biashara za hapa na...

AKILIMALI: Kijana hodari wa uchoraji aliyejigundua kwenye makao ya watoto alikokulia

Na CHARLES WASONGA WASIMAMIZI wa makao ya watoto mayatima na wengine wenye mahitaji maalum, aghalabu, hupenda kuyarembesha kwa aina...

Achuma hela kwa kutia nakshi vinyago Mombasa

NA CHARLES ONGADI CHANGAMWE, MOMBASA. NI katika mojawapo ya karakana maarufu ya uchongaji vinyago eneo la Changamwe, Mombasa,...

Uangalizi mdogo, mahitaji machache msukumo tosha wa kukuza karoti

NA RICHARD MAOSI Zao la karoti linahitaji uangalizi mdogo, hivyo basi mkulima anaweza kupata nafasi ya kufanya shughuli nyinginezo za...

AKILIMALI: Mfumo wa Hydroponic na mbinu asilia kukabili magonjwa na wadudu

Na SAMMY WAWERU UGONJWA wa Fusarium wilt ni kati ya changamoto zilizohangaisha wakulima Harun Njoroge na Miriam Karuitha katika safari...

AKILIMALI: Lishe bora ya mifugo msimu wa kiangazi

Na RICHARD MAOSI KUENDESHA ufugaji wa ng'ombe wa maziwa msimu wa kiangazi si rahisi, ikizingatiwa kuwa makali ya ukame huathiri malisho...

AKILIMALI: Mboga ainati za kiasili ndizo tegemeo la riziki

Na CHRIS ADUNGO JAMBO ambalo baadhi yao hawalijui ni kwamba kuna njia nyingi mbadala za kujipatia riziki bila ya kutegemea kuajiriwa na...

AKILIMALI: Jinsi teknolojia inavyopunguza gharama ya kukuza kabichi na pilipili maeneo kame

Na GRACE KARANJA KILIMO cha aina tofauti za mboga katika baadhi ya mataifa ni rahisi kwani hakihitaji maelfu ya ekari za mashamba ili...

AKILIMALI: Aliacha mahindi ili kula ndizi kwa kijiko

Na PETER CHANGTOEK BAADA ya kukuza mihindi kwa muda mrefu pasi na kuona faida ya zao hilo, alikata kauli kuiacha shughuli hiyo, na...

Wakulima watakiwa kuwa wabunifu

Na SAMMY WAWERU Wakulima na wafanyabiashara wametakiwa kukumbatia mfumo wa uongezaji mazao ya kilimo thamani ili kuyaepusha...