• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 12:58 PM

Ageukia kilimo cha penino baada ya matundadamu kumpiga chenga

Na PETER CHANGTOEK BEI duni na maajenti wanaowapunja wakulima wanaoshughulika na ukuzaji wa viazi, ni kati ya sababu ambazo zilimsukuma...

Si lishe tu, kilimo cha ‘minji’ kinaongeza rutuba shambani

Na SAMMY WAWERU Kwa muda mrefu David Muriuki ambaye ni mtaalamu na afisa wa Kilimo Kaunti ya Kirinyaga amekuwa akijaribu kuangazia suala...

Mbinu bora za kukuza brokoli

NA PETER CHANGTOEK BROKOLI (broccoli) ni mboga ya jamii ya kabeji, ambayo huchanua maua ambayo huliwa na binadamu. Hata hivyo, ni nadra...

Ubunifu wa mitego maalum unavyomsaidia kurina asali

Na SAMMY WAWERU Ikiwa kuna mfumo wa kiteknolojia anaopigia upatu baada ya kuukumbatia mnamo 2017, ni matumizi ya mitego ya kipekee kuteka...

AKILIMALI: Unadra wa mistafeli na faida zake kiafya ulimsukuma kuikuza

NA PETER CHANGTOEK ALIPOKAMILISHA masomo yake katika Chuo Kikuu cha Kenyatta mnamo mwaka 2010, alifadhaika na kuhangaika akitafuta...

AKILIMALI: Sh300,000 kila msimu kutokana na mauzo ya mapapai ya kisasa

PIUS MAUNDU na CHARLES WASONGA ZAO la mbaazi ndilo hukuzwa na wakulima wengi viungani mwa mji wa Mavindini katika kaunti ya Makueni. Hii...

Mchanganyiko wa hoho, brokoli na saladi humpa kibunda cha kudondosha ute

Na CHRIS ADUNGO AYUB Otieno, 20, hujishughulisha na kilimo cha nyanya, broccoli, mboga za saladi (lettuce) na pilipili-mboga ndani ya...

Alitamani kuwa muunda bidhaa na marufuku ya mifuko ya plastiki ikamfaa

CHARLES WASONGA na LAWRENCE ONGARO TANGU utotoni hadi mwaka wa 2017 alipojiunga na Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta...

AKILIMALI: Kwake kondoo ni nyama na sufu

Na RICHARD MAOSI NYANDA za juu zenye baridi kali katika eneo la Bonde la Ufa ni mojawapo ya maeneo mwafaka kufuga kondoo kwa ajili ya...

Joto jingi Mandera lilivyo na tija kwa wakuzaji tikitimaji

Na CHARLES WASONGA JAPO wakazi wengi wa Mandera ni wafugaji baadhi yao wamekumbatia kilimo kama njia ya kupanua vianzo vyao vya...

Elewa kilimo cha kisasa cha mapapai na mboga

Na DIANA MUTHEU BAADA ya kufanya kazi ya mauzo kwa takriban miaka kumi, Enos Msungu aliamua kuacha ajira hiyo na kujitosa kwa...

‘Changamoto zipo kwa biashara, lakini jipe moyo, faida utaipata’

NA MARGARET MAINA [email protected] @maggiemainah Joyce Wagaki Karanja, 33, alihitimu kutoka Taasisi ya Elimu ya...