• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 6:55 AM

Jinsi ya kufuga kuku wakati wa corona

NA PETER CHANGTOEK JANGA la gonjwa la Covid-19 limekuwa tishio kuu kote ulimwenguni. Kuenea kwa gonjwa hilo, ambalo kwa sasa halina...

AKILIMALI: Mpigapicha mahiri ambaye alianza kujikimu kwa kuuza juisi

Na FARHIYA HUSSEIN LICHA ya kuacha shule akiwa kidato cha pili, Bw Mohammed Mbwana hii leo ni miongoni mwa wapigapicha tajika katika...

AKILIMALI: Amekitegemea kilimo cha mboga na nyanya kimapato kwa miaka kadhaa

Na PHYLLIS MUSASIA KIJIJI cha Kipsoni, Moiben, Kaunti ya Uasin Gishu si tofauti na maeneo mengine nchini. Wakazi wengi wa hapa...

AKILIMALI: Ukuzaji miche unalipa

Na JOHN NJOROGE [email protected] Unapoingia mji wa Elburgon kupitia barabara mbovu ya Molo- Nakuru unapata aina tofauti ya...

Kijana atumia mabaki ya mbao kuunda viti vya maana

NA RICHARD MAOSI [email protected] Kampeni ya kupiga marufuku ukataji miti kiholela chini ya mwavuli wa UNEP, inaendelea...

AKILIMALI: ‘Ninaunda maelfu kutokana na uchoraji’

NA MARGARET MAINA [email protected] Bw Robert Chumbi, 28 huvutia wapita njia na picha alizochora. "Kama msanii, moja ya njia...

AKILIMALI: Usanii wa kurembesha mifuko unalipa

NA MARGARET MAINA [email protected] Katika duka la Fundi Nyata kwenye jengo la Prime Plaza mjini Nakuru, Akilimali ilimpata...

AKILIMALI: Jifunze biashara ya kurembesha viatu

NA MARGARET MAINA [email protected] Mwanafunzi mmoja katika Chuo Kikuu cha Unicaf ambaye ni mkazi wa Thika,  alijiuliza...

AKILIMALI: Dobi anayehakikishia wateja huduma muda wa saa 24

Na MAGDALENE WANJA BI Maurine Wanjiku aligundua umuhimu wa udobi alipokuwa akifanya kazi katika sekta ya hoteli. Aliona jinsi ambavyo...

BONGO LA BIASHARA: Kusafisha na kupaka viatu rangi humpa riziki kila siku

Na PHYLLIS MUSASIA KILA asubuhi na mapema Bi Maureen Kimeli hurauka ili kufika katika sehemu yake ya kazi kwa wakati. Yeye huripoti...

AKILIMALI: Ndizi ni uwekezaji wa maana, panda kwa wingi

Na JOHN NJOROGE [email protected] Kwa safari ya kilomita 10 kutoka kituo cha magari cha Cheponde katika barabara ya Molo-...

AKILIMALI: Waanzisha kiwanda cha bishara ya nyama ya sungura

NA RICHARD MAOSI [email protected] Wakulima wengi nchini hususan kutoka mashinani, wamekuwa wakijihusisha na ufugaji wa...