Tag: Dondoo
- by adminleo
- April 23rd, 2020
Polo aona moto kuchezea maski
NA MARU WANGARI LIMURU MJINI JAMAA mjini hapa alijipata mashakani kwa kufanyia utani masharti ya kujikinga na corona. Yote...
- by adminleo
- April 8th, 2020
Polo aliyekojoa kitandani ajuta
Na TOBBIE WEKESA BUSIADA, BUSIA MWANADADA wa hapa aliwafanya wakazi kucheka kwa kumlazimisha mumewe mlevi kuanika malazi aliyolowesha...
- by adminleo
- April 6th, 2020
Polo ashirikiana na wezi kwake kuporwe
Na BENSON MATHEKA MAKADARA, ATHI RIVER WAKAZI wa mtaa huu walifurahia sinema bila malipo mwanadada alipomgombeza mumewe akimlaumu...
- by adminleo
- March 30th, 2020
Wang’atwa na nyuki wakila uroda
NA JOHN MUSYOOKI MBIUNI, MACHAKOS KIOJA kilishuhudiwa hapa, jombi na kimada wa mtaani walipovamiwa na nyuki wakirushana roho ndani...
- by adminleo
- March 21st, 2020
Siasa zaletea buda balaa nyumbani
Na NICHOLAS CHERUIYOT BAHATI, Nakuru BUDA wa hapa aliingiwa na tumbojoto alipofika nyumbani na kupata kikao cha wafuasi waliofika...
- by adminleo
- February 27th, 2020
Kioja abiria jini akipotelea hewani!
Na Charles Ongadi MAGANYAKULO, KWALE BODABODA wa hapa alilazimika kuacha pikipiki yake kwenye steji na kutimka mbio za mguu niponye...
- by adminleo
- February 26th, 2020
Pasta adinda kuombea polo aliyekataa kuoa bintiye
Na John Musyoki OTHAYA, Nyeri Pasta wa kanisa moja eneo hili, alishangaza waumini alipodinda kumuombea jamaa aliyekataa kuoa binti...
- by adminleo
- February 20th, 2020
Mganga azirai mkewe alipookoka
Na John Musyoki KAVATI, Kitui MGANGA wa hapa alianguka na kuzirai baada ya kugundua kwamba mke wake alikuwa ameokoka katika njama ya...
- by adminleo
- February 17th, 2020
Akata mti baada ya kukosa cheo kanisani
Na John Musyoki NGETANI, Masinga MUUMINI wa kanisa moja kutoka eneo hili alishangaza watu alipokata mti aliopanda kanisani baada ya...
- by adminleo
- February 13th, 2020
VALENTINO DEI: Buda atupiwa maji taka asiende kwa kimada
Na MWANDISHI WETU KITENGELA MJINI K ALAMENI mmoja mjini hapa alijipata taabani baada ya kumwagiwa maji taka na mkewe ili asiende...
- by adminleo
- February 10th, 2020
Alilia pasta amsaidie kutaliki mke
NA MWANDISHI WETU MALAA, MACHAKOS Kalameni wa hapa, alimshangaza pasta wa kanisa la mkewe alipomuomba amsaidie kumtaliki...
- by adminleo
- February 5th, 2020
Kioja polo akidai kufufua maiti
Na Tobbie Wekesa SINOKO, BUNGOMA KIOJA kilizuka katika mazishi eneo hili baada ya polo kudai ana uwezo wa kumfufua...