• Nairobi
  • Last Updated March 19th, 2024 6:55 AM

Man-United kutamatisha mkataba wa Ronaldo kisheria ili aondoke Old Trafford bila ndururu!

NA MASHIRIKA MANCHESTER United wamefichua mpango wa kutumia njia mbalimbali za kisheria katika juhudi za kutamatisha mkataba wa nyota...

Arsenal wakomoa Villa na kukalia vizuri katika nafasi ya nne EPL

Na MASHIRIKA KOCHA Mikel Arteta wa Arsenal alikuwa mwingi wa sifa kwa kikosi chake kilichokomoa Aston Villa 1-0 mnamo Jumamosi usiku...

Corona yavuruga mipango ya vikosi siku chache kabla ya kipute cha EPL kuanza

Na MASHIRIKA VINARA wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) wamethibitisha kwamba wanasoka tisa na baadhi ya maafisa wa klabu 20 zinazoshiriki...

Vinara wa EPL wanataka mashabiki 10,000 kuruhusiwa viwanjani kuhudhuria mechi mbili za mwisho wa msimu huu wa 2020-21

Na MASHIRIKA VINARA wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) wana mipango ya kuhakikisha kwamba mashabiki watahudhuria mechi za raundi mbili za...

Man U watamaushwa na sare ya Palace

Na MASHIRIKA MATUMAINI finyu ya Manchester United kushinda ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu yalididimizwa hata zaidi mnamo...

Iheanacho anusuru Leicester dhidi ya Burnley

Na MASHIRIKA FOWADI Kelechi Iheanacho aligeuka tegemeo la Leicester City dhidi ya Burnley katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)...

Ighalo apata hifadhi Saudia

Na MASHIRIKA FOWADI Odion Ighalo amejiunga na kikosi cha Al Shabab nchini Saudi Arabia baada ya kipindi chake cha mkopo kambini mwa...

Adhabu ya kadi nyekundu dhidi ya David Luiz wa Arsenal yadumishwa, ya Bednarek wa Southampton yabatilishwa

Na MASHIRIKA ARSENAL wamepoteza rufaa ya kubatilisha kadi nyekundu ambayo beki wao David Luiz alionyeshwa wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya...

Chelsea wabomoa Spurs

Na MASHIRIKA KOCHA Jose Mourinho alisalia kumlaumu refa Andre Mariner kwa baadhi ya maamuzi yaliyochangia kikosi chake cha Tottenham...

Swara tena EPL

Na MASHIRIKA LONDON, Uingereza WASIMAMIZI wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) wamejipiga moyo konde na kusisitiza hawana mipango ya...

Chelsea yalia Septemba 12 ni mapema mno EPL kuanza

Na CHRIS ADUNGO KOCHA Frank Lampard amewakosoa waratibu wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa kudai kwamba Septemba 12, 2020 itakuwa mapema...

Kivumbi chatarajiwa EPL ikikamilika

Na CHRIS ADUNGO LIGI Kuu ya Uingereza (EPL) ilirejelewa mnamo Juni 17, 2020 baada ya kusitishwa kwa zaidi ya miezi mitatu kutokana na...