• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 9:15 PM

Tuambiwe ukweli, nani huchoma soko la Gikomba? Wakenya Twitter wawaka

Na WANGU KANURI WAKENYA katika mtandao wa kijamii wa Twitter wameghadhabishwa na visa vya moto vinavyozuka kila mara katika soko la...

Kibicho: Tutaweka kamera za siri Gikomba kudhibiti mikasa ya moto

Na SAMMY WAWERU KATIBU katika Wizara ya Usalama wa Ndani Dkt Karanja Kibicho amesema serikali inalenga kupata suluhu ya kudumu kudhibiti...

Binti wa chuo aeleza anavyovuna Sh300,000 kila mwezi kutokana na useremala

Na MAGDALENE WANJA Alipokuwa mchanga, Bi Parky Kamau alikuwa na mazoea ya kuandamana na mamaye kuelekea sokoni Gikomba ambako alipenda...

Kibicho aonya wateketezaji soko Gikomba

Na SAMMY WAWERU SERIKALI imetoa onyo kwa wahuni wanaohangaisha wafanyabiashara wa soko la Gikomba, jijini Nairobi kupitia mikasa ya moto...

Wachina wavamia Gikomba, Nyamakima na Kamukunji kuuza mitumba

Na EDWIN OKOTH WAKENYA Jumatatu walipokea kwa ghadhabu habari za Wachina kuvamia masoko ya Gikomba, Nyamakima na Kamukunji jijini...

Sakaja aorodhesha sababu za moto kutokea Gikomba kila mara

Na CHARLES WASONGA MIZOZO ya ardhi, ukosefu wa bima na hali ya wafanyabiashara kuhujumiana kila mara ni baadhi ya sababu ambazo...

GIKOMBA. Ndimi za moto zarudi kulamba mali ya mamilioni

Na PETER MBURU BAADHI ya wafanyabiashara katika soko la Gikomba, Jijini Nairobi wanakadiria hasara tele baada ya moto mkubwa uliozuka...

GIKOMBA: Wengi waliangamia wakiwa usingizini

Na LUCY KILALO WAATHIRIWA watano wa tukio la moto katika Soko la Gikomba walifariki Alhamisi wakipokea matibabu katika Hospitali Kuu ya...

GIKOMBA: Soko lenye historia ya mikasa ya moto

Na LUCY KILALO SOKO la Gikomba Alhamisi lilishuhudia tukio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni ambapo moto uliangamiza maisha ya...

MKASA WA GIKOMBA: Moto uliwashwa makusudi, wadai wafanyabiashara

Na WANDERI KAMAU MIVUTANO kuhusu ardhi na ushindani wa kibiashara ndizo sababu kuu zinazodaiwa kupelekea vifo vya watu 15  kwenye moto...