Tag: JOHO
Uongozi wa Joho wazua zogo bungeni
Na WINNIE ATIENO WAWAKILISHI wa wadi katika Bunge la Kaunti ya Mombasa wametofautiana kuhusu wajibu wa Gavana Hassan Joho, huku baadhi...
- by adminleo
- July 24th, 2020
Madiwani sasa watishia kumtimua Joho
Na FARHIYA HUSSEIN BAADHI ya madiwani wa Kaunti ya Mombasa, wametishia kumtimua ofisini Gavana Hassan Joho, wakimlaumu kwa ufisadi na...
- by adminleo
- July 22nd, 2020
Madiwani waliosema Joho ni mfisadi watimuliwa
Na FARHIYA HUSSEIN MADIWANI wa Kaunti ya Mombasa ambao walimshtaki Gavana Hassan Joho kwa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC)...
- by adminleo
- July 22nd, 2020
Joho awindwa na EACC
MOHAMED AHMED na FARHIYA HUSSEIN TUME ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) inachunguza madai ya ufujaji wa pesa katika Serikali ya...
- by adminleo
- July 19th, 2020
Kaunti yaambiwa ianze kufunga vituo vya corona
Na WINNIE ATIENO SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa imetakiwa kuhamisha vituo vyote vya wagonjwa wa Covid-19 vilivyo katika taasisi za elimu...
- by adminleo
- July 10th, 2020
Joho na Junet waendea ‘Baba’ Dubai
Na VALENTINE OBARA WAFUASI wa Kiongozi wa Chama cha ODM, Bw Raila Odinga, sasa wana matumaini kwamba hatimaye kiongozi huyo atarejea...
- by adminleo
- May 10th, 2020
HAMNITISHI: Joho awajibu wakosoaji wake
MOHAMED AHMED na VALENTINE OBARA GAVANA wa Mombasa, Hassan Joho amepuuzilia mbali viongozi ambao wamekuwa wakimkosoa kwa hatua...
- by adminleo
- April 26th, 2020
‘LOCKDOWN’: Rais apuuza Joho
Na VALENTINE OBARA RAIS Uhuru Kenyatta amepuuza mwito wa Gavana wa Mombasa Hassan Joho wa kuweka kafyu usiku na mchana jijini humo ili...
- by adminleo
- April 24th, 2020
Ni wakati wa ‘Total Lockdown’ Mombasa – Joho
Na CECIL ODONGO GAVANA Hassan Joho wa Mombasa amependekeza kufungwa kabisa kwa Kaunti ya Mombasa kuzuia ueneaji zaidi wa virusi vya...
- by adminleo
- April 19th, 2020
Joho ashauri wakazi wajinyime raha msimu wa corona
MISHI GONGO na WINNIE ATIENO GAVANA wa Mombasa Hassan Joho amewataka wakazi waige mfano wake, kwa kujilazimisha kuacha mambo ya...
- by adminleo
- April 16th, 2020
Joho awapa polisi maski kusambazia umma
DIANA MUTHEU na MOHAMED AHMED GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho ametoa msaada wa barakoa kwa maafisa wa polisi ili wazipeane kwa...
- by adminleo
- April 11th, 2020
Mfano wa kuigwa
AHMED MOHAMED na VALENTINE OBARA MAGAVANA watatu wameibuka kuwa mfano wa kuigwa kwa juhudi zao za kukabiliana na virusi vya corona,...