• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 10:08 PM

Ukosefu wa hela umeeneza corona kwenye kaunti – Magavana

Na RICHARD MUNGUTI KUCHELEWESHWA kwa fedha za kaunti na Hazina Kuu kumechangia pakubwa kuongezeka kwa maambukizi ya Covid-19 maeneo ya...

Kaunti saba kunyimwa Sh2.2 bilioni kutoka Denmark

Na ANGELA OKETCH KAUNTI saba ziko katika hatari ya kuondolewa katika orodha ya kaunti ambazo zitafaidika kwa msaada wa Sh2.2 bilioni...

Maskini kupigwa kiboko

Na CHARLES WASONGA WATU wanaoishi katika kaunti maskini za Pwani, Kaskazini Mashariki na Ukambani wataendelea kuzama kwenye uchochole...

Maseneta wachemka wakipinga mfumo mpya wa ugavi wa fedha

NA CHARLES WASONGA ZAIDI ya maseneta 21 wamepinga mfumo mpya wa ugavi wa fedha baina ya kaunti uliopendekezwa na Tume ya Ugavi wa Mapato...

Magavana wataka Wizara ya Fedha ifuate maagizo

Na NDUNGU GACHANE BARAZA la Magavana (COG) sasa linataka Wizara ya Fedha kuheshimu uamuzi wa Mahakama na kutuma mgao wa pesa kwa...

Serikali Kuu kuzinyima fedha kaunti 34 ambazo hazijalipa madeni

Na CHARLES WASONGA SERIKALI za kaunti 34 ambazo hazijalipa madeni yao yote halali kufikia Juni 30, 2018 huenda zikanyimwa mgao wa fedha...

Maseneta wamuunga Yatani kuzinyima fedha kaunti zenye malimbikizo ya madeni

Na CHARLES WASONGA MPANGO wa Wizara ya Fedha wa kuzinyima fedha serikali 15 za kaunti ambazo hazijalipa madeni yao umepata uungwaji...

Uhuru atia saini Mswada wa Ugavi wa Fedha

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta Jumatano ametia saini Mswada wa Ugavi wa Fedha baina ya Serikali za Kaunti (County Allocation of...

Serikali za kaunti kupokea Sh50 bilioni Ijumaa

Na CHARLES WASONGA SERIKALI 47 za kaunti sasa zitaanza kupokea Sh50 bilioni kutoka Hazina ya Kitaifa kuanzia Ijumaa wiki hii, kaimu...

Mfanyakazi wa kaunti akana kuwalaghai wakazi wa jiji Sh5.5 milioni

Na RICHARD MUNGUTI MFANYAKAZI wa kaunti ya Nairobi Jumatatu alishtakiwa kwa kufanya njama za kuwalaghai wananchi zaidi ya Sh5.5 milioni...