• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 6:47 AM

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Alama ya kistari kirefu, au deshi (-) katika uakifishaji

Na MARY WANGARI KATIKA Makala ya leo, tutajadili na kujifahamisha zaidi kuhusu matumizi ya kituo cha deshi au ukipenda kistari kirefu...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Uhusiano baina ya lugha za kigeni na Fasihi ya Kiafrika

Na CHRIS ADUNGO MATUMIZI ya lugha aghalabu husadifu kuwa ndio msingi wa kuendeleza na kukuza, na hata pia kubuni uzushi mpya katika...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Tamathali za usemi katika lugha ya kisiasa

Na ALEX NGURE KWA mujibu wa Mulokozi na Kahigi (1979), tamathali za usemi ni vifananisho au viwakilisho vya dhana fulani kwa dhana...

INDINDI: Walezi, wanataaluma wajipange kuwasilisha mawazo yao kwa BBI

NA HENRY INDINDI  MCHAKATO unaoendelea wa kuchangia mabadiliko katika katiba ya taifa hili umeshika kasi tena baada ya wiki mbili za...

NYARIKI: Kuomba radhi kwa kutohudhuria mkutano ni udhuru, si rambirambi

NA ENOCK NYARIKI NENO rambirambi linapotumiwa katika sherehe za matanga au mazishi, taswira ya kwanza inayojisawiri katika mawazo ya...

Sumu Ya Bafe: Kazi inayoukosoa uongozi mbaya kijazanda

Jina la utungo: Sumu ya Bafe Mwandishi: K.W. Wamitila Mchapishaji: Vide-Muwa Mhakiki: Nyariki Nyariki Kitabu:...

MOKUA: Haja ya kuteua kozi kwa kuzingatia vigezo vinavyostahiki

NA HENRY MOKUA AWAMU nyingine ya kuteua kozi za kusomea kwenye vyuo vikuu na vya kadri imewadia. Kwa mujibu wa tangazo la Huduma ya...

Ipo haja ya kuzingatia lugha za kiasili

NA STEVE MOKAYA  Hapo Februari 21, dunia iliadhimisha Siku ya Kimataifa ya Lugha za Mama. Jamii mbalimbali ulimwenguni husherehekea...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Uchangamano wa dhana ya itikadi katika miktadha ainati

Na ALEX NGURE KAMUSI ya Kiswahili Sanifu inatoa kijelezi cha neno itikadi kama: 1) imani katika jambo la dini na jinsi ya mapokezi...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Mwandishi atafaulu zaidi akioanisha fani na maudhui

Na ALEX NGURE WATAALAMU wengi wamelielezea neno hili fasihi. Kwa hakika fafanuzi na nadharia juu yake ni nyingi. Neno fasihi kama...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nadharia ya Msambao wa Ugunduzi, Nadharia ya Kikongoo katika Teknolojia ya lugha

Na MARY WANGARI KATIKA kuangazia teknolojia ya lugha kwa Kiswahili, kuna nadharia muhimu zinazotumika kuwapa watafiti na wasomi wa...

BBI iandikwe kwa lugha zote za kiasili – Mishra

Na TITUS OMINDE MBUNGE wa Kesses, Dkt Swarup Mishra ametaka serikali itafsiri Ripoti ya Jopo la Upatanishi (BBI) katika lugha zote za...