• Nairobi
  • Last Updated April 23rd, 2024 2:10 PM

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nadharia za kujifunza lugha

Na MARY WANGARI NADHARIA za kujifunza na kufundisha lugha ya pili au lugha ya kigeni huhusisha sifa zifuatazo: Mbinu ya tafsiri...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Jinsi ya kufundisha darasa mseto

Na MARY WANGARI NI sharti kama mwalimu uwe na maarifa kuhusu tamaduni na itikadi za wanajamii mbalimbali kama vile Wazungu, Wachina,...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Muktadha wa ufundishaji lugha; ufundishaji wa darasa mseto

Na MARY WANGARI ILI kufanikiwa katika mchakato wa kujifunza lugha ni sharti mwanagenzi atilie maanani mambo yafuatayo: Ni muhimu...

KINAYA: Matajiri watumie noti za Sh1,000 kujitakasa kwa kusaidia maskini

Na DOUGLAS MUTUA HEBU tutakase pesa jamani! Kivipi? Si huo ni uvunjaji sheria? Na tukishikwa? Tukienda jela wake na watoto wetu...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Ufundishaji wa lugha kimawasiliano

Na MARY WANGARI NI muhimu kuhakikisha kwamba katika kujifunza lugha shughuli ya ufundishaji inayotumika ni mawasiliano. Vilevile, ni...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Motisha katika kusoma na kufundisha lugha mpya

Na MARY WANGARI MOTISHA au ari inaweza kufafanuliwa kama tabia au msukumo katika kutimiza malengo fulani. Kwa mujibu wa TUKI (2004),...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Sifa za mkufunzi, mwanagenzi katika ufundishaji wa lugha ya Kiswahili

Na MARY WANGARI ILI kufanikisha mchakato wa ufundishaji wa lugha ni muhimu kwa mkufunzi kudhihirisha sifa zifuatazo: i. mkufunzi...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Sifa bainifu za wanafunzi wanaojifunza lugha

Na MARY WANGARI WAKATI mtaalamu anawafundisha wanafunzi lugha kama Kiswahili, ni muhimu kukumbuka kwamba uteuzi wa njia itakayotumika...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Mbinu za ufundishaji lugha ya Kiswahili

Na MARY WANGARI MBINU za kufundisha Kiswahili ni chungu nzima sawa na jinsi walimu nao walivyo wengi. Hata hivyo, njia hizi...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nadharia za kujifunza na kufundisha lugha

Na MARY WANGARI Nadharia ya utabia (Behaviourism) MWASISI wa nadharia hii ni B. Watson. Wataalamu wengineo wanaoafikiana na...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Hatua na nadharia muhimu katika kujifunza na ufundishaji wa lugha

Na MARY WANGARI TUNAENDELEZA mada kuhusu mchakato wa kujifunza pamoja na kufundisha lugha ya Kiswahili. Jinsi tulivyofafanua awali,...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Mchakato wa kujifunza na kufundisha lugha ya kigeni

Na MARY WANGARI MADA ya mchakato wa kujifunza lugha ya kigeni pamoja na ufundishaji wa lugha ya kigeni kwa jumla ni muhimu. Aghalabu,...