• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 6:55 PM

KAMAU: Viongozi sasa waelekeze macho kwa umoja wa taifa

Na WANDERI KAMAU UMOJA wa nchi ni msingi ambao kila mmoja anapaswa kuzingatia. Bila umoja, nchi huwa kama ombwe tu—jamii isiyo na...

ODONGO: Kifo cha BBI chaweka OKA hatarini zaidi 2022

Na CECIL ODONGO VIONGOZI wa OKA wanafaa kughairi kiburi chao kisha wakimbilie muungano na Naibu Rais William Ruto au Kinara wa ODM Raila...

WANGARI: Mabadiliko katika NHIF yawe ya kumfaidi mwananchi

Na MARY WANGARI KATIKA miezi michache ya hivi karibuni, serikali imekuwa ikijitahidi kufanyia mageuzi muhimu Bima ya Kitaifa kuhusu Afya...

WARUI: Serikali iharakishe maandalizi ya sekondari kwa CBC

Na WANTO WARUI HUKU ukibakia mwaka mmoja na miezi michache tu ili wanafunzi wa Gredi ya 5 watamatishe elimu yao ya shule ya msingi na...

WASONGA: Serikali ikubali wazo la ODM uchumi ufunguliwe

Na CHARLES WASONGA SI kawaida yangu kukubaliana na nyingi za kauli na mapendekezo ya wanasiasa kutokana na imani kuwa hili ni tabaka la...

KINYUA BIN KING’ORI: Kinga ya corona katika matatu sasa ni wewe na mimi!

Na KINYUA BIN KING'ORI HATA ingawa wenye matatu wamefurahia hatua ya serikali kuwaruhusu kuanza kubeba abiria kwa asilimia mia moja...

KAMAU: UhuRuto wasiturejeshe enzi ya Moi kuhusu urithi

Na WANDERI KAMAU HUENDA kitabu ‘The Kenyatta Succession’ (Harakati za Urithi wa Mzee Jomo Kenyatta) ndicho kinachochora taswira...

WASONGA: Uadilifu ndicho kiungo muhimu uchaguzini wala si hela!

Na CHARLES WASONGA HUKU taifa likijiandaa kwa uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 9, 2022, maandalizi ya shughuli hiyo ya kitaifa ni...

NGILA: Toka mjini, uchumi wa kidijitali umefika vijijini

Na FAUSTINE NGILA RIPOTI ya hivi majuzi kuhusu matumizi ya intaneti nchini imefichua kuwa wakazi wa Kaunti ya Mombasa ndio wanafurahia...

WARUI: Mfumo wa CBC ni mzigo kutokana na ughali wa vifaa

Na WANTO WARUI HUKU ratiba ya elimu ikiendelea kusukuma wazazi haraka haraka bila mapumziko, wazazi walio na wanafunzi wanaosoma mfumo...

ONYANGO: Nauli zipunguzwe kufuatia agizo la kujaza abiria garini

Na LEONARD ONYANGO HATUA ya serikali kuruhusu magari ya usafiri wa umma kujaza abiria kulingana na idadi ya viti kuanzia leo, ni habari...

KAMAU: Ufanisi wa nchi unategemea viongozi tunaowachagua

Na WANDERI KAMAU KULINGANA na mafundisho ya vitabu vitakatifu, Yesu Kristo na Mtume Mohammed walikataliwa na baadhi ya wafuasi licha ya...