• Nairobi
  • Last Updated March 19th, 2024 6:55 AM

Nafasi finyu mjini lakini ufugaji mbuzi umenawiri si haba

Na SAMMY WAWERU KEVIN Uduny amekuwa akifuga mbuzi kwa muda wa miaka minane, na hana nia ya kuacha shughuli hiyo asilani. Yeye ni...

AKILIMALI: Kujiamini kumemfanya awe hodari katika ufugaji-biashara

Na SAMMY WAWERU VERONICA Wamuyu Kihagi ni mama mwenye bidii za mchwa, watoto wake sita akiwalea kupitia mapato ya ufugaji mbuzi wa...

Visa vya wizi wa mifugo vyazidi katika kijiji cha Maguguni Thika Mashariki

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Maguguni, Thika Mashariki wanakadiria hasara baada ya mifugo wao kubwa na watu...

AKILIMALI: Natija itokanayo na kujua mahitaji ya ufugaji mbuzi

Na HAWA ALI MBUZI wa maziwa ni mifugo iliyo bora kwa wafugaji wadogo wadogo, kwa kuwa ni rahisi sana kufuga na kutunza, wanahitaji eneo...

AKILIMALI: Ufugaji wa mbuzi wa maziwa una faida, mfugaji hahitaji nafasi kubwa

Na SAMMY WAWERU IKIWA kuna ufugaji anaouvulia kofia uite wa mbuzi wa maziwa, kutokana na manufaa yake kiafya na kimapato. Ruth Mburu...

AKILIMALI: Mhandisi aliyestaafu jeshini sasa ni mfugaji hodari wa mbuzi wa maziwa

Na PETER CHANGTOEK KILOMITA chache kutoka jijini Nairobi, katika eneo la Ruai, ndiko anakoishi James Nyaga, 64, mhandisi aliyestaafu...

AKILIMALI: Mbuzi wa nyama wamletea faida kuliko wa maziwa

Na PHYLLIS MUSASIA ILI kuwa mfugaji hodari wa mbuzi wa nyama, kunayo mambo muhimu ambayo mtu anapaswa kuzingatia. Kulingana na Bw...

KRISMASI: Bei ya nyama ya mbuzi na kuku yapanda

JOHN MUTUA na CHARLES WASONGA BEI ya mbuzi na kuku imepanda zaidi wakati huu wa Krismasi huku uchumi ukishuhudia kupungua kwa watu...

UFUGAJI WA FAIDA: Mbuzi kwake kimbilio akitaja bei nzuri ya maziwa, gharama nafuu

Na RICHARD MAOSI KAUNTI ndogo ya Rongai inayopatikana viungani mwa mji wa Nakuru, ni eneo linalopokea mvua kidogo kila mwaka, jambo...

Wagura ufugaji wa ng’ombe, wageukia mbuzi wa maziwa

NA RICHARD MAOSI Kaunti ndogo ya Rongai inayopatikana viungani mwa mji wa Nakuru ni eneo linalopokea mvua kidogo kila mwaka, jambo...

Jinsi Rais alivyowapelekea wanamuziki ‘minofu’ mazishini

Na MWANGI MUIRURI BAADA ya kulemewa kujipanga ili wazuru Ikulu kula nyama choma ya mbuzi walioahidiwa na Rais Uhuru Kenyatta mnamo...

AKILIMALI: Kwake mbuzi wa maziwa wana faida tele

Na PHYLLIS MUSASIA MUDA wake mwingi mfugaji Clement Ocharo wa kutoka Borabu, Kaunti ya Nyamira huutumia malishoni na mbuzi wake ambao...