• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 11:33 AM

NEMA yawakamata watu 11 kwa kuchafua mazingira Homa Bay

Na GEORGE ODIWUOR MAAFISA wa Mamlaka ya Kitaifa ya Mazingira (Nema) kaunti ya Homa Bay wamewatia mbaroni watu 11 kwa tuhuma za kuvunja...

SHINA LA UHAI: Corona si hatari tu kwa afya bali pia mazingira

Na LEONARD ONYANGO VIDEO ya mwanaume aliyeonekana akisafisha barakoa/maski zilizotumika iliwatia hofu Wakenya ilipochipuza katika...

Nema yafunga kiwanda cha karatasi za nailoni Juja

Na LAWRENCE ONGARO MAMLAKA ya Kuhifadhi Mazingira (Nema) imefunga kiwanda kimoja cha kutegeneza karatasi za nailoni eneo la Theta,...

NEMA yapendekeza ‘tuktuk bubu’ kupunguzia Wakenya kelele mijini

Na DIANA MUTHEU JINA tuktuk huwa linatokana na sauti inayotolewa na magari hayo, lakini sasa tuktuk zisizo na kelele zimeanza kuuzwa...

Sababu ya NEMA kufunga viwanda 12

Na BERNARDINE MUTANU Serikali inajitahidi kuhifadhi Mto Nairobi ambao kwa kiwango kikubwa umechafuka, na ambao ni moja ya matawi ya Mto...

NEMA yafunga viwanda vitatu

NA COLLINS OMULO MAMLAKA ya Kitaifa ya Mazingira Nchini(NEMA), Jumatano ilifunga viwanda vitatu eneo la Nairobi Kusini kwa kutoa gesi...

Afueni baada ya marufuku ya mifuko kusitishwa

Na RICHARD MUNGUTI WATENGENEZAJI na wauzaji wa mifuko isiyoshonwa Alhamisi walijawa na furaha baada ya mahakama kuu kufutilia mbali...

Marufuku ya mifuko yaanza rasmi

Na WINNIE ATIENO KUANZIA Aprili 1, 2019, kubeba mifuko isiyosongwa ni marufuku huku serikali ikianza msako wa waagizaji, watengenezaji...

Hii ndiyo sababu tumepiga marufuku mifuko ya sasa – NEMA

Na BERNARDINE MUTANU Sababu za kupiga marufuku mikoba ya sasa ya kubeba bidhaa ni kutokana na kuwa watengenezaji wake walikataa kufuata...

ANENE: NEMA imesahau kazi yake barabara ya Juja, Nairobi

Na GEOFFREY ANENE WA KULAUMIWA barabara ya Juja Road kugeuzwa kuwa jaa la taka ni nani? Kwa kiwango kikubwa wafanyabiashara katika...

NEMA yanasa mifuko ya plastiki kutoka Tanzania

Na Winnie Atieno HALMASHAURI ya mazingira ya kitaifa (Nema), imenasa mifuko ya plastiki iliyopigwa marufuku iliyoagizwa kutoka nchi...