• Nairobi
  • Last Updated April 26th, 2024 2:25 PM

Wafugaji sasa walia kupunjwa na serikali

Na STEPHEN ODUOR WAFUGAJI katika Kaunti ya Tana River, wamelalamika wakisema kuna masharti makali yaliyoekwa na serikali katika mpango...

Wazazi watozwa ng’ombe 100 kwa utundu wa watoto wao

STEPHEN ODUOR na SIAGO CECE WAZAZI wawili wametozwa faini ya ng'ombe 100 kwa jumla, baada ya watoto wao wenye umri wa miaka 15 na 17...

Jaji akomesha utata kwa kuwapa wajane ng’ombe

Na BRIAN OCHARO MAHAKAMA Kuu ya Malindi, Kaunti ya Kilifi imewapa wajane sita ng'ombe wanne kila mmoja baada ya familia kushindwa...

Polisi Samburu wapata ng’ombe 14 walioibwa

FAUSTINE NGILA POLISI katika Kaunti ya Samburu wameokoa ng'ombe 14 ambao walikuwa wameibwa kutoka eneo la Tiamamut, Kaunti ya...

Ng’ombe 24 wa mbunge wafa baada ya kula chakula hatari

NA GEORGE SAYAGIE Mbunge wa Emurua-Dikir Johanna Ngeno anakadiria hasara baada ya ng’ombe wake wapatao 24 aina ya Holstein Friesian...

AKILIMALI: Ifahamu mikate ya ng’ombe kutoka Kalro

NA RICHARD MAOSI KILOMITA 16 hivi kutoka mjini Nakuru tunawasili katika makazi ya Miriam Wangare, mkazi wa Wanyororo B, eneo la Lanet...

Ng’ombe walivyogeuka kuwa kero kwa wafanyabiashara Nairobi

Na SAMMY WAWERU NG'OMBE huthaminiwa kwa ajili ya maziwa na nyama; bidhaa ambazo ni sehemu ya lishe ya kila siku. Ngozi yake pia...

UFUGAJI KIBIASHARA: Amepiga hatua kuu maishani kwa ufugaji wa ng’ombe wa maziwa

Na SAMUEL BAYA KIJIJI cha Solai katika Kaunti ya Nakuru kiligusa vichwa vya habari mwaka 2018 wakati maji yalipasua kuta za bwawa la...

Ufugaji ajira ya maana baada ya kustaafu, Sh165,000 kila mwezi

Na MWANGI MUIRURI WAKATI Bw Laurence Munyua alistaafu kutoka ajira ya serikali kama mwalimu katika shule za msingi mnamo 1994, hofu yake...

AKILIMALI: Siri ya kufaulu katika ufugaji ng’ombe wa maziwa

NA RICHARD MAOSI NG'OMBE aina ya Jersey ni aina mojawapo ya mifugo maarufu duniani kuwahi kufugwa na wakulima ikiaminika kuwa asili yake...

UFISADI: Kaunti yanunua ng’ombe kwa Sh3.7 milioni!

Na VALENTINE OBARA SERIKALI ya Kaunti ya Kisumu ilitumia Sh3.7 milioni kununua ng'ombe mmoja wa maziwa, ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...

Mama ashinda mashindano bila kumpa fahali wake bangi

Na FAUSTINE NGILA  Mama Peninah Otuma kutoka kijiji cha Ematetye amefunguka kuhusu vita vya ng’ombe akisema yeye hampi fahali wake...