• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 6:55 PM

Wakulima wa pamba Machakos wapata nguvu kujiimarisha zaidi

Na LAWRENCE ONGARO WAKULIMA wa eneo la Ndalani, Yatta kaunti ya Machakos, wametabasamu baada ya kupokea pamba aina ya BT iliyozinduliwa...

Wakulima wa pamba Yatta wapokea Sh2 milioni

Na LAWRENCE ONGARO WAKULIMA wa pamba eneo la Yatta, Kaunti ya Machakos, wanajivunia kupata mavuno ya juu msimu huu. Wakulima hao wana...

Wakuzaji pamba kufaidi baada ya Rivatex kushirikiana na kaunti 20

WAKULIMA wa pamba katika maeneo ya Magharibi na Mashariki wanatarajia kunufaika na hatua ya kiwanda cha kutengeneza vitambaa cha Rivatex,...

Thika Cloth Mills yapata zabuni ya kushona nguo za idara za serikali

Na LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya Thika Cloth Mills Ltd imepata zabuni ya kushona nguo za idara za serikali. Mkurugenzi wa kampuni hiyo...

Thika Cloth Mills yayumbishwa na athari za Covid-19

Na LAWRENCE ONGARO HALI ngumu ya mambo kufuatia janga la Covid-19 imefanya kampuni ya Thika Cloth Mills Ltd (TCM) iamue kufunga shughuli...

Ukuzaji wa mipamba kwa ajili ya kupata pamba kuinua viwanda vya nguo nchini

Na LAWRENCE ONGARO UKUZAJI wa mipamba kwa ajili ya uzalishaji wa pamba unavipa viwanda vya nguo nguvu na uhai wa kujiendeleza. Hivi...

Munya ataka thamani ya pamba iimarishwe

Na FADHILI FREDRICK WAZIRI wa Biashara na Viwanda, Bw Peter Munya ametoa wito kwa wawekezaji kuongeza thamani zaidi kwenye zao la pamba...

Kiwanda cha pamba chaiomba serikali kununua bidhaa zake

Na LAWRENCE ONGARO KIWANDA cha nguo cha Thika Cloth Mills, kimeiomba serikali kuisaidia kwa kununua bidhaa zao ili kukinyanyua...

Uchina yafanikiwa kukuza mimea kwa mwezi

MASHIRIKA Na PETER MBURU UCHINA imefanikiwa kupanda mimea kwenye mwezi kwa mara ya kwanza katika historia, baada ya mimea ya pamba ambayo...

Masikitiko wakulima wa pamba kuvuna hewa

NA KALUME KAZUNGU WAKULIMA wapatao 10,000 wa zao la pamba tarafa ya Mpeketoni, Kaunti ya Lamu wanakadiria hasara kufuatia mmea huo...

NYS yapewa ekari 100,000 kukuza pamba Galana-Kulalu

[caption id="attachment_1843" align="aligncenter" width="800"] Wakulima wakivuna pamba katika eneo la Molo, Nakuru. Picha/...