• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 6:47 AM

Loroupe kuongoza timu ya wakimbikizi ya Olimpiki

  Na GEOFFREY ANENE Mkenya Tegla Loroupe ametajwa kuwa kiongozi wa msafara wa timu ya wakimbizi 29 watakaoshiriki Olimpiki mnamo...

Moraa atesa mbio za mita 800 nchini Finland kinadada Wakenya wakionyeshwa kivumbi mita 3,000 kuruka viunzi na maji

Na GEOFFREY ANENE MARY Moraa alikaribia kufikia muda unaohitajika kushiriki mbio za mita 800 kwenye Olimpiki 2020 baada ya kushinda...

Tuwei: Sifan ameweka rekodi ya dunia ya mbio za mita 10,000, lakini mashindano hutofautiana

Na GEOFFREY ANENE “KILA mashindano hutofautiana.” Hayo ni maoni ya Rais wa Shirikisho la Riadha Kenya (AK) Jackson Tuwei baada ya...

Tumaini tuzo ya Mwanariadha wa Bora wa Mwaka Duniani kwa upande wa wanawake itatua Kenya kwa mara ya kwanza 2020

Na CHRIS ADUNGO KUJUMUISHWA kwa Faith Kipyegon, Hellen Obiri na Peres Jepchirchir kwenye orodha ya watimkaji wanaowania taji la...

LONDON MARATHON: Sababu za washindi kutuzwa takriban nusu ya hela zilizotolewa 2019

Na CHRIS ADUNGO MSHIKILIZI wa rekodi ya dunia katika mbio za marathon, Brigid Kosgei, alitetea ubingwa wake wa taji la London Marathon...

Bingwa wa dunia mbio za mita 400 upande wa wanawake akodolea macho marufuku ya miaka 2 kutoka IAAF

Na CHRIS ADUNGO BINGWA wa dunia wa mbio za mita 400 kwa upande wa wanawake, Salwa Eid Naser amepigwa marufuku ya muda kushiriki...

Kenya yatenga mamilioni kufanikisha vita dhidi ya pufya

GEOFFREY ANENE na MASHIRIKA KENYA imetenga Sh17 milioni kufanikisha vita dhidi ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli kwa timu ya taifa...

IAAF yaitambua rasmi rekodi ya dunia ya Kipruto katika mbio za masafa ya kilomita 10

Na CHRIS ADUNGO AKIWA na umri wa miaka 20 pekee, mwanariadha Rhonex Kipruto ameanza kutia maguu yake katika jukwaa la wafalme wa mbio za...

MTAISOMA NAMBA: Mo Farah aonya washindani wake mbio za mita 10,000 kwenye Olimpiki za Tokyo

Na CHRIS ADUNGO MWANARIADHA mahiri mzawa wa Somalia na raia wa Uingereza, Mohamed Muktar Jama almaarufu Mo Farah, amesema yuko tayari...

Kivumbi cha London Marathon kutifuliwa na wanariadha wa haiba kubwa pekee

Na CHRIS ADUNGO MBIO za zilizoahirishwa za London Marathon huenda zikawashirikisha wanariadha wazoefu na wa haiba kubwa zaidi pekee...

Ratiba za Riadha za Dunia na Jumuiya ya Madola zagongana

Na CHRIS ADUNGO SHIRIKISHO la Riadha la Kenya (AK) litalazimika kuunga vikosi tofauti kwa minajili ya kushiriki fani mbalimbali katika...

Brigid Kosgei amaliza katika nafasi ya pili Ras Al Khaimah Half Marathon

Na GEOFFREY ANENE MSHIKILIZI wa rekodi ya dunia ya mbio za kilomita 42 Brigid Kosgei amepoteza mbio kwa mara ya kwanza tangu Oktoba 2018...