• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 2:16 PM

Serikali yazima Mt Kenya TV kwa kupotosha watoto

Na SAMMY WAWERU MAWIMBI ya runinga ya Mt Kenya inayomilikiwa na M/s Slopes Media House Ltd Jumatano yameondolewa hewani kwa kupeperusha...

Wakenya wakerwa na mbunge kuzindua televisheni

Na MARY WANGARI TUKIO ambapo Mbunge wa Kesses, Swarrup Mishra, alizindua televisheni katika sherehe ya kukata na shoka limevutia hisia...

AKILIMALI: Amebuni ajira kwa vijana wenzake kwa kuanzisha kituo cha runinga

Na FRANCIS MUREITHI HUKU serikali za kaunti zikifurahia matunda ya ugatuzi, kijana mwenye uchu wa kufanya biashara, amebadilisha ajenda 14...

Mtangazaji wa TV akaangwa kuvaa nguo yenye umbo la uume

MASHIRIKA na PETER MBURU MSOMAJI wa habari za runinga kutoka Australia amekashifiwa kwenye mitandao ya kijamii kufuatia tabia yake ya...

Mtoto afariki yaya akitazama runinga

PETER MBURU na JOSEPH OPENDA MWANAMKE mmoja ambaye alikuwa yaya wa wakili mjini Nakuru anasakwa na polisi kufuatia kisa ambapo mtoto wa...

Jombi ampokonya demu TV kwa kugawa asali nje

Na TOBBIE WEKESA MWIKI, NAIROBI Kioja kilizuka kwenye ploti moja mtaani humu baada ya polo kugundua kwamba mpenzi wake alikuwa...

France 24 yaungana na Signet kufaidi wenye runinga za dijitali

Na CECIL ODONGO SHIRIKA la Habari la Kimataifa la France 24 limetia saini makubaliano na mawimbi ya Signet ili kupeperusha matangazo...

Polisi wasema hawatawashtaki wanahabari wa NTV

[caption id="attachment_1387" align="aligncenter" width="800"] Kutoka kulia: Wanahabari wa runinga ya NTV Linus Kaikai, Larry Madowo na Ken...

Mawakili kugoma kulalamikia mazoea ya serikali kukaidi maagizo ya mahakama

[caption id="attachment_1175" align="aligncenter" width="800"] Mwenyekiti wa Chama cha Mawakili nchini (LSK) Bw Isaac Okero. Picha/...