• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 5:47 PM

AKILIMALI: Jinsi bidhaa za sodo zinazoweza kudumu hadi miaka 10 zilivyobadilisha maisha yake

Na MARY WANGARI HEBU fikiria kuhusu sodo inayoweza kutumika mara zaidi ya moja na inayoweza kudumu hadi kwa miaka 10! Ebby Weyime 33,...

Wito serikali itoe sodo bila malipo

Na Maureen Ongala MASHIRIKA ya kijamii ya katika kaunti ya Kilifi, jana walitaka serikali kuu kutoa sodo bila malipo kama vile inatoa...

Waiguru asambazia wasichana sodo

Na George Munene KAUNTI ya Kirinyaga Ijumaa alizindua mpango wa kusambaza sodo kwa wasichana wa shule za eneo hilo. Mpango huo...

Mwanamume shupavu anayehamasisha umma kuhusu maswala ya hedhi

Na DIANA MUTHEU KULINGANA na ripoti ya Benki ya Dunia ya mwaka wa 2018, wasichana 500 milioni ulimwenguni kote hawakuweza kupata vifaa...

Walemavu wanaounda sodo za kutumika tena waomba msaada

Na DIANA MUTHEU CHAMA kimoja cha kutetea haki za watu walemavu, katika kaunti ya Mombasa kinaiomba serikali kupiga jeki mradi wake wa...

SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIAFRIKA: Jamii na wazazi wahimizwa kuhakikisha watoto wako salama

Na MISHI GONGO HUKU Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiafrika ikiadhimishwa leo Jumanne, afisa mkuu wa watoto mjini Mombasa Bw Philip...

HEDHI: Wasichana waliotegemea mpango wa sodo shuleni Kaskazini Mashariki sasa wakosa bidhaa hizo muhimu

Na FARHIYA HUSSEIN WASICHANA kutoka eneo la Kaskazini Mashariki ambao walikuwa wanafaidika na mradi wa sodo shuleni wameiomba serikali...

BONGO LA BIASHARA: Kundi la walemavu labuni sodo za kuauni wenye kipato cha chini

Na CHARLES ONGADI SODO ni kitambaa kitumiwacho na wanawake kujihifadhi wakati wa hedhi. Aghalabu kila mwezi wao hulazimika kutumia...

DAU LA MAISHA: Amejitolea kuwapa wasichana visodo

NA PAULINE ONGAJI Tafiti kadha zimeonyesha kwamba wakilinganishwa na wavulana, wasichana wengi nchini hukosa kwenda shuleni mara nyingi...

Umasikini unawasukuma mabinti kushiriki ngono wapate sodo – UNICEF

Na PAUL REDFERN IDADI kubwa ya wasichana wanaoishi katika mitaa ya mabanda kama vile Kibera jijini Nairobi wanalazimika kushiriki ngono...

Walimu waonywa dhidi ya kuuza sodo za serikali

Na SAMMY LUTTA VIONGOZI kutoka Kaunti ya Turkana, wameonya walimu wa shule za msingi na upili dhidi ya kuuza sodo zinazotolewa na serikali...

Sodo zatajwa sababu ya mimba za mapema Pwani

Na KAZUNGU SAMUEL WASICHANA wengi katika eneo la Pwani hupata mimba za mapema kwa sababu ya kufanya mapenzi wakiwa na matumaini ya...