• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 9:15 PM

TUJIFUNZE UKULIMA: Wakulima wahamasishwe jinsi ya kukabili mabadiliko ya tabianchi

Na SAMMY WAWERU ATHARI za mabadiliko ya tabia nchi zinapotajwa, wakulima Simon Mungai na dadake Wairimu Mungai wanazielewa...

WANDERI KAMAU: Wakati wa kuchukua hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi ni sasa

Na WANDERI KAMAU SUALA la mabadiliko ya hali ya hewa limeibuka kuwa miongoni mwa midahalo mizito zaidi inayoendelea katika sehemu...

Uhuru ahimiza viongozi kukabili mabadiliko ya tabianchi

Na MARY WAMBUI RAIS Uhuru Kenyatta ametoa wito kwa viongozi wote ulimwenguni kushirikiana ili kupambana na athari za mabadiliko ya hali...

LEONARD ONYANGO: Wawaniaji urais walipe uzito suala la mabadiliko ya tabianchi

Na LEONARD ONYANGO HUKU Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022 ukinukia, wanasiasa wanaomezea mate urais wamekuwa wakizunguka kila pembe ya...

Kongamano kuhusu tabia-nchi kufanyika Makueni

Na Benson Matheka Kongamano la ugatuzi mwaka huu litafanyika mjini Wote, Kaunti ya Makueni kati ya Aprili 20 na 23 mwaka huu, baraza la...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Mabadiliko ya tabianchi tishio kuu kwa ajira

Na LEONARD ONYANGO JACK Omondi amegeukia kazi ya kutengeneza makaa katika Mlima Gembe, Kaunti ya Homa Bay baada ya juhudi zake za kupata...

MUTANU: Tukabiliane na mabadiliko ya anga kuzuia magonjwa

Na BERNARDINE MUTANU Wananchi sehemu mbalimbali wanazidi kungoja mvua huku matumaini yakizidi kuyeyuka kwa mamilioni wanaokabiliwa na...