• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 11:42 PM

Msifute watu sababu teknolojia, Chelugui asihi

Na MACHARIA MWANGI WAZIRI wa Leba Simon Chelugui ameziomba kampuni mbalimbali zihakikishe kuwa haziwafuti wafanyakazi wao hata...

Kune Food kutumia teknolojia kuwalisha Wakenya vyakula vya kiasili

Na WANGU KANURI TEKNOLOJIA imeiboresha sekta ya upishi haswa kwa wale ambao waliendeleza huduma zao mtandaoni licha ya janga la...

Kebs na Inable wazindua kanuni za kuwafaa walemavu kidijitali

Na WANGU KANURI WAKENYA wanaoishi na ulemavu pamoja na wale  wakongwe sasa wataweza kupokea huduma wanazotaka kidijitali za mawasiliano...

FAUSTINE NGILA: Safaricom ikomeshe teknolojia ya kidole kwa M-Pesa, ni hatari

Na FAUSTINE NGILA LABDA hujasikia hili lakini linakuathiri moja kwa moja kwa kuwa wewe ni mteja wa M-Pesa. Majuzi rafiki yangu alimfaa...

Vijana wataka vyuo vya kiufundi vianzishe masomo ya kidijitali

Na STEPHEN ODUOR VIJANA katika Kaunti ya Tana River, wametaka mafunzo ya kisasa yatolewe katika taasisi na vyuo vya kiufundi ili...

FAUSTINE NGILA: Usilie ughali wa mafuta, nunua gari la kielektriki

NA FAUSTINE NGILA MAGARI mengi yanayomilikiwa humu nchini na duniani kote yanatumia dizeli au petroli, mafuta ambayo yanachafua...

FAUSTINE NGILA: Tuna kibarua kukuza miji ya kibiashara na kiteknolojia

Na FAUSTINE NGILA SUALA muhimu lililojitokeza katika ziara ya Rais Uhuru Kenyatta nchini Uingereza wiki iliyopita, lilikuwa azma ya...

FAUSTINE NGILA: Wapi utekelezwaji wa Ripoti ya Blokcheni?

Na FAUSTINE NGILA NI miaka mitatu sasa tangu Ripoti ya Blockcheni na Akili Bandia (AI) iwasilishwe kwa serikali kwa ajili ya utekelezaji...

Spika Muturi awarai madaktari watumie teknolojia kwa tiba

Na Ruth Mbula SPIKA wa Bunge la Kitaifa, Bw Justin Muturi, amewarai wadau wa afya kuharakisha utekelezaji wa taratibu za kutumia...

FAUSTINE NGILA: Jihadhari na matapeli wa sarafu za kidijitali

[caption id="attachment_77341" align="alignnone" width="843"] Wataalamu wakagua uvunaji wa bitcoin katika kituo cha Bitfarms eneo la Saint...

FAUSTINE NGILA: Tuwazime wafisadi iwapo tunataka teknolojia itufae

Na FAUSTINE NGILA Inashangaza kuwa licha ya Kenya kupiga hatua kubwa katika maendeleo ya kiteknolojia, karatasi bado zinatumika katika...

Biashara ya mitandaoni yawaletea Wakenya fursa mpya ya uwekezaji

Na MASHIRIKA Kutokana na ongezeko la matumizi ya simu tamba na za kisasa pamoja na kuimarishwa kwa mitandao, imekuwa rahisi kwa idadi...