• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 4:36 PM

Asingekuwa na mwito, mwenge wa uimbaji ungezima

Na PATRICK KILAVUKA Ulaghai wa nyimbo zake ungemshusha moyo kama mwandamu! Lakini aliamini kwamba Mwenyezi Mungu aliyempa hekima na...

Shambulizi la bomu 1998 lilivyomtosa kwa usanii

NA ABDULRAHMAN SHERIFF AKIWA miongoni mwa Wakenya walioathiriwa wakati wa maafa ya bomu la Balozi wa Marekani jijini Nairobi mnamo...

Ajizolea umaarufu kwa kutunga nyimbo za kisiasa

NA ABDULRAHMAN SHERIFF WASANII wenye kuwapenda baadhi ya wale watakaopigania nyadhifa mbalimbali za kisiasa katika uchaguzi mkuu...

Chipukizi asimulia machafuko ya 2007 yalivyomchochea kujitosa kwa usanii wa injili

NA WANNIE  ONYANDO  Wengi wanapitia changamoto nyingi maishani. Anayohitaji mtu ni maneno yatakayompa motisha na tumaini. Kando na...

Wasanii wa Baba Dogo watikisa anga za muziki jijini

Na WINNIE A ONYANDO Usanii unahitaji ubunifu na uvumilivu, haijalishi utokako. Haya ndiyo maoni ya wasanii wawili chipukizi ambao wameunda...

Mtambue msanii chipukizi anayetunga nyimbo kwa lugha sita tofauti

Na WINNIE A ONYANDO Msanii chipukizi wa mdundo wa Swahili RnB Andrew Kibera almaarufu Andy Saharan ana mengi yasiyo ya...

JULIUS MWANZIA: Msanii chipukizi wa injili, produsa mtajika

Na JOHN KIMWERE NI mwimbaji wa nyimbo za injili na produsa anayekuja kwa kasi kwenye jukwaa la muziki wa burudani. Anashikilia kuwa...

Nyota wa ‘Vuta Pumzi’ alifariki kutokana na kansa ya ubongo

Na THOMAS MATIKO MMOJA wa wanamuziki maarufu wa kizazi cha sasa, Christian Longomba, memba wa kundi la The Longombas alifariki Jumamosi...

Mtambue msanii Geerah The Boy kutoka Pwani

NA ABDULRAHMAN SHERIFF NI sababu mbili kuu ndizo zilizomfanya Gerald Mwendwa Nzomo ajiepushe kuimba nyimbo za karne ya kisasa na akaamu...

Msanii ‘Lonely Man’ awaumbua mabinti wapenda pochi

NA ABDULRAHMAN SHERIFF KUTOKANA na kuonekana na kupata sifa kutoka kwa wazazi na waalimu alipokuwa akiimba nyakati za sherehe za shule,...

‘Firirinda’ yapata umaarufu wa kipekee lakini mtunzi amesalia maskini

SIMON CIURI NA WANGU KANURI Mshairi wa mapenzi, Percy Bysshe Shelley, katika shairi lake 'To a Skylark,' lililochapishwa mwaka wa 1820...

Poleni mashabiki, yalikuwa tu majaribu ya kimwili – Samidoh

Na SAMMY WAWERU MASHABIKI wangu ninawaomba msamaha kwa kuteleza, kuwa na mpango wa kando ulioishia kujaaliwa mtoto ambaye hana hatia,...