• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 3:53 PM

Wanasiasa wasukumwa kueleza mipango ya kuinua utalii

NA FARHIYA HUSSEIN WADAU wa utalii Pwani, wametaka wawaniaji ugavana kaunti za eneo hilo waeleze wazi mipango yao ya kustawisha sekta...

Sekta ya utalii yajiandaa Pasaka ikikaribia

NA WINNIE ATIENO WADAU wa sekta ya utalii Pwani wameanza kuweka mikakati ya kutafuta faida wakati wa sikukuu za Pasaka. Wadau hao...

Utalii wapigwa jeki ndege mpya ikitua na wageni

NA WINNIE ATIENO SEKTA ya Utalii nchini ilipigwa jeki Jumapili baada ya watalii kutoka nchi ya Bulgaria kutua katika uwanja wa ndege wa...

Wawekezaji walilia Balala aokoe utalii

Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI wa sekta ya Utalii wamemlilia Waziri wa Utalii, Bw Najib Balala (pichani) kuwaokoa kutoka kwa sera...

Dhuluma za ngono zinavyotatiza utalii

Na WAANDISHI WETU KESI ya mfanyabiashara Asif Amirali Alibhai Jetha, ambaye alihukumiwa miaka 30 gerezani, imezidi kufichua jinsi...

Nafuu kuu watalii wakifurika Mombasa

Na WINNIE ATIENO MATUMAINI ya sekta ya utalii kufufuliwa tena Mombasa yameongezeka baada ya idadi ya wateja wanaokodi vyumba hotelini...

Kaunti za Pwani kusaka ?watalii kama eneo moja

Na SIAGO CECE SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa itashirikiana na kaunti zingine za Pwani kuinua sekta ya utalii ambayo imepata pigo kubwa...

Covid: Wadau wa utalii walalama kubaguliwa

Na WACHIRA MWANGI WADAU katika sekta ya utalii wamelalamika kuwa sekta ya utalii inabaguliwa serikali inapoendelea kujaribu kurejesha...

Utalii wapigwa jeki Lufthansa ikizindua safari

Na SIAGO CECE SEKTA ya utalii nchini imepigwa jeki baada ya Kenya kupokea ndege ya watalii kutoka Frankfurt, Ujerumani katika uwanja wa...

Wamaasai wanavyovumisha utalii kupitia sherehe za Moran

Na GEORGE SAYAGIE KAUNTI ya Narok inatarajiwa kuwa kivutio kikubwa cha utamaduni kwa miezi mitatu hadi minne ijayo, ukoo wa Purko...

Wadau walia utalii unaendelea kusambaratika nchini

Na WINNIE ATIENO SEKTA ya Utalii eneo la Pwani inazidi kudorora huku janga la corona likiendelea kuathiri biashara nchini. Wawekezaji...

Kero mitandaoni Balala akiteua Mwingereza kupigia debe utalii

NA WANGU KANURI Wakenya kupitia mitandao ya kijamii ya Twitter na Facebook wameeleza masikitiko yao kuhusiana na uamuzi wa Wizara ya...