• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 11:55 AM

Njonjo aadhimisha miaka 100 tangu kuzaliwa

Na WANDERI KAMAU ALIYEKUWA Mwanasheria Mkuu wa kwanza nchini, Bw Charles Njonjo anaadhimisha miaka 100 Januari 23, 2020 ikiwa hatua...

Wazee walia kunyimwa hela za uzeeni

NA KALUME KAZUNGU WAZEE kutoka vijiji vilivyoko ndani ya msitu wa Boni na vile vya mpakani mwa Kenya na Somalia wameilalamikia serikali...

KOIGARO FALLS: Eneo wazee wa Kalenjin walikuwa wanajirusha kwa kuamini ‘kifo kimewasahau’

NA RICHARD MAOSI MLIMA wa Koigaro Falls katika eneo la Biribiriet, Kaunti ya Nandi, unasifika kutokana na historia yake ndefu, ya...

Sababu ya wanaume kuzeeka mapema kuliko wanawake

AFP Na PETER MBURU UTAFITI mpya umedhihirisha sababu ya wanawake kuishi maisha marefu kushinda wanaume na akili zao kuwa imara hadi...

KAMUGISHA: Uzee ni mtihani, kila mtu hutaka kuishi miaka mingi ila hakuna atakaye kuitwa mzee

NA FAUSTIN KAMUGISHA KUNA methali ya taifa la Iceland isemayo kuwa, kila mmoja anataka kuishi maisha marefu, lakini hakuna anayetaka...

‘VIONGOZI WA KESHO’: Kaulimbiu ya UhuRuto ya kuwapa vijana kazi ilivyofeli

Na CHARLES WASONGA TANGU taifa hili lipate uhuru vijana wamekuwa wakitajwa kama, "viongozi wa kesho", lakini 'kesho' hiyo haifiki kwa...