• Nairobi
  • Last Updated June 12th, 2024 4:24 PM

Nuru Okanga motoni kwa matamshi ya uchochezi

NA RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya Milimani imeamuru mwanaharakati wa kisiasa Nuru Maloba Okanga azuiliwe kwa siku tano kuhojiwa na...

Vurugu makazi yakibomolewa Mukuru

NA SAMMY KIMATU MAAFISA wa polisi Kupamabana na Ghasia (GSU) Jumatano, Juni 12, 2024 walilazimika kufyatua mikebe ya vitoza machozi ili...

Masaibu ya walimu wa JSS ni mwiba wa kujidunga binafsi

NA BENSON MATHEKA HATUA ya Tume ya Huduma ya Walimu (TSC) kuwafuta kazi walimu wa Sekondari Msingi (JSS) waliokuwa kwenye mgomo...

Mbosso apoteza imani na warembo kwa kumpiga matukio

NA SINDA MATIKO STAA wa Bongo Flava Mbosso Khan kasema kitu anachokiogopa sana katika maisha yake ni mahusiano na wanawake. Mbosso...

Historia mwana wa Rais Biden akipatikana na hatia ya uhalifu

NA MASHIRIKA WASHINGTON DC, AMERIKA HUNTER Biden, mwana wa Rais wa Amerika amepatikana na hatia ya kumiliki bunduki kinyume cha...

Biashara ya vipakio vya avokado za ng’ambo

NA SAMMY WAWERU KENYA inaongoza katika uzalishaji wa maparachichi (Avokado) Afrika, ikiorodheshwa kidedea kuuza zao hilo nje ya...

Mgonjwa wa mapafu na moyo Baringo aomba msaada anunue oksijeni

Na FLORAH KOECH MGONJWA mmoja katika Hospitali ya Rufaa ya Baringo anaomba msaada wa kununua mtungi wenye oksijeni kumsaidia kupumua baada...

Kinaya wanafunzi wakifukuzwa kuendea pesa za masomo ya ziada

NA WINNIE ATIENO WAZAZI nchini wameingiwa na hofu baada ya walimu wakuu kuanza kufukuza wanafunzi shuleni kutokana na kutolipa karo na...

Mbunge adai Nupea inatumia kifua kujenga kiwanda cha nyuklia Uyombo

NA MAUREEN ONGALA MBUNGE wa Kilifi Kaskazini Owen Baya amedai shirika la kawi ya nyuklia (Nupea), limekuwa likiwatenganisha wakazi wa...

Transfoma ya mume wangu inazimazima

Shangazi; Mimi ni mwanamke wa miaka 50 na mume wangu ana miaka 60. Mzee ameishiwa na nguvu za kiume. Nataka kaka anayejua kunengua mauno...

Mafuriko yasaidia kufungia magaidi njia ya kufikia raia

NA KALUME KAZUNGU JAPO mafuriko husababisha maafa na hasara katika maeneo mbalimbali nchini, katika baadhi ya sehemu kwenye Kaunti ya...

Ruto ampigia simu Uhuru na kumshauri atulize boli

NA JUSTUS OCHIENG BAADA ya kuhofia kile wadadisiuasi unaoweza kutokea Mlima Kenya , kufuatia malalamishi ya Naibu Rais Rigathi Gachagua na...