Kipusa Viviane Miedema atawazwa Mwanasoka Bora wa Kike kwenye tuzo za BBC 2021

Na MASHIRIKA FOWADI wa Arsenal na timu ya taifa ya Uholanzi, Viviane Miedema ametawazwa Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Kike wa tuzo za BBC...

Wanafunzi 2,000 Mukuru wapigwa jeki kielimu

Na SAMMY KIMATU WANAFUNZI zaidi ya 2,000 wamepigwa jeki kielimu baada ya kampuni moja kuahidi kutoa msaada kwa watoto hao eneo la...

Jinsi ya kuandaa biriani ya nyama ya ng’ombe

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com Muda wa kuandaa: Dakika 15 Muda wa mapishi: Dakika 50 Walaji:...

Waiguru, Ngirici wazidi kuonyeshana ubabe

Na WANDERI KAMAU MVUTANO wa kisiasa kati ya Gavana Anne Waiguru wa Kirinyaga na Mwakilishi wa Wanawake, Bi Wangui Ngirichi, unaendelea...

Mbunge akanusha kuhamia UDA

Na KENYA NEWS AGENCY MBUNGE wa Maragua Mary Wamaua amekanusha madai kuwa amehama kutoka Chama cha Jubilee (JP) na kujiunga na chama cha...

WANDERI KAMAU: Ukatili kwa wanahabari ni dalili za enzi za giza

Na WANDERI KAMAU WAKATI wa harakati za kupigania ukombozi wa kisiasa nchini katika miaka ya sabini, themanini na tisini, moja ya mbinu...

PAUKWA: Biashara haramu ya Titi (sehemu 3)

CHUI mwingine aliyejificha kwenye matawi juu ya mti ambao Machugachuga alisimama chini yake alitishwa na mwangaza wa kurunzi. Kufumba na...

TALANTA YANGU: Kiongozi wa maskauti

Na RICHARD MAOSI KIONGOZI wa bendi ya maskauti anafaa kuwa na maono ya juu, wakati wa kutoa mwongozo ili kukipa kikosi chake...

Corona: Afrika Kusini sasa yadai ‘kuonewa’

JOHANNESBURG, Afrika Kusini Na MASHIRIKA AFRIKA Kusini imedai kuwa inaonewa na mataifa mengine duniani badala kusifiwa, kwa kutambua...

Mazungumzo ya ushirikiano wa kisiasa ni jambo la kawaida – Mithika Linturi

Na CHARLES WASONGA SENETA wa Meru Mithika Linturi amekubali kuwa kuna uwezekano kwamba mazungumzo yanaendelea kati ya kambi za chama cha...

Washirika wa Ruto wadai Obado avuruga chama cha Naibu Rais

Na IAN BYRON HATUA ya Gavana Okoth Obado kujihusisha na siasa za chama cha United Democratic Alliance (UDA) cha Naibu Rais, Dkt William...

Tsunami yatikisa ndoa ya OKA

Na CHARLES WASONGA MUUNGANO wa One Kenya Alliance (OKA) umekumbwa na mashaka yanayoweza kuufanya upasuke na kusambaratika hata kabla ya...