Author: Fatuma Bariki

PROPAGANDA – ule uwezo wa kukoroga akili za watu zikadhani weupe ni weusi na weusi ni weupe – ni sanaa chafu mno. Nasisitiza ni sanaa...

MICHELE Lacroix ambaye ni mke wa Kevin de Bruyne ametishia kuvua pete yake ya ndoa iwapo kiungo huyo matata wa Manchester City, Kevin de...

SUMU iliyoua miungano ya Nasa na Cord sasa inaonekana kusambaratisha Muungano wa Azimio La Umoja-One Kenya. Kuna dalili za wazi kuwa...

SEKTA ya utalii mjini Mombasa huenda ikazidi kudorora iwapo maandamano dhidi ya serikali yataendelea. Wadau katika sekta hiyo wamesema...

VYAMA vya kutetea walimu nchini vimeutaka utawala wa Rais William Ruto kuhakikisha kuwa mgao wa bajeti uliotengewa sekta ya...

UKISALIA mwezi mmoja kabla ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) ya msimu 2024-2025 ianze Agosti 16, kompyuta maalum imebashiri kuwa Arsenal na...

RAIS William Ruto ameonekana kuruka kisiki cha kisheria kwa kusema kuwa mawaziri aliorudisha kazini lazima watapigwa msasa na bunge la...

KINYUME na matarajio ya wengi, Rais William Ruto ameonekana kutozingatia kikamilifu matakwa ya vijana wa Gen-Z kwa kuwateua tena baadhi ya...

RAIS William Ruto amerudisha mawaziri sita wa zamani kati ya 11 aliotaja kwenye Baraza lake jipya la Mawaziri. Majina ya 11 hao bado...

MAAFISA wa polisi wa Kenya nchini Haiti na wenzao wa Haiti wamefanikiwa kukomboa bandari ambayo imekuwa ikidhibitiwa na magenge kwa muda wa...