BI TAIFA 03, 2019

Brenda Nyamokami ndiye anatupambia ukurasa wetu leo.Yeye ni mwanafunzi wa uanahabari kutoka chuo Cha Mount Kenya. Anapenda kusafiri  na kucheza ala za muziki. Picha/Richard Maosi