Tuesday, November 4th, 2025
BI TAIFA
Anayetupambia safu leo ni Faith Nyambura. Bi Nyambura,22, ni mwanafasheni kutoka jijini Nairobi. Uraibu wake ni kusafiri, kutazama filamu na kujumuika na marafiki. PICHA|RICHARD MAOSI