MTOTO MZURI, Mei 23, 2024

Margaret Wamboi ana umri wa miaka 25. Uraibu wake ni kuimba, kunengua maungo, kuoka keki na kusikiliza mziki taratibu. Picha|Billy Ogada

Margaret Wamboi ana umri wa miaka 25. Uraibu wake ni kuimba, kunengua maungo, kuoka keki na kusikiliza mziki taratibu.