Monday, August 24th, 2020
BI TAIFA AGOSTI 10, 2020
Pendo Kwamboka amehitimu miaka 21, yeye ni mwanafunzi wa Uanahabari katika Taasisi ya Rift Valley ya Sayansi na Teknolojia. Muda wake anapenda kujivinjari. Picha/Richard Maosi