Sunday, September 15th, 2019
BI TAIFA AGOSTI 11, 2019
Juliana Nyaboke, 23, ni mzaliwa wa Kaunti ya Kisii. Yeye ni mwanamitindo na mfanyibiashara maarufu. Uraibu wake ni kusoma vitabu na kuogelea. Picha/Richard Maosi