Monday, August 24th, 2020
BI TAIFA AGOSTI 20, 2020
Dee Tanui amegonga miaka 23, ni mzaliwa wa eneo la Mogotio kaunti ya Baringo. Uraibu wake ni kusakata densi ya Salsa katika kumbi mbalimbali za burudani. Picha/Richard Maosi