Monday, August 24th, 2020
BI TAIFA AGOSTI 22, 2020
Faith Kwamboka mwenye umri wa miaka 21 ndiye anatupambia ukurasa wetu leo, yeye ni mzawa wa eneo la Freearea Kaunti ya Nakuru. Anapenda kushiriki katika mashindano ya uanamitindo, kusoma majarida ya mapambo na kusafiri.
Picha/Richard Maosi