Monday, August 24th, 2020                                                
                                                BI TAIFA AGOSTI 9, 2020
Mariam Ondara mwenye umri wa miaka 25 ni mjasiriamali katika kampuni moja eneo la Njoro Nakuru. Uraibu wake ni kusakata densi na kusafiri. Picha/Richard Maosi