BI TAIFA APRILI 10, 2019

Morline Atieno amegonga umri wa miaka 22. Yeye ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu Cha Kenyatta jijini Nairobi. Apatapo muda, anapenda kutazama filamu za Soap Opera. Picha/Richard Maosi