BI TAIFA APRILI 12, 2018

Lucy Kuria, 21, ni mwanafunzi katika Kenya Institute of Mass Communication, akisomea uanahabari na kujinoa katika Kenya News Agency, kaunti ya Kwale. Anapenda kuimba na kutembea. Picha/ Fadhili Fredrick