Monday, December 23rd, 2019
BI TAIFA DESEMBA 9, 2019
Lucy Tash, 25, ndiye mgeni wetu leo. Yeye ni mfanyibiashara katika duka moja mjini Nakuru. Uraibu wake ni kutazama filamu na kusakata kabumbu.
Picha/Richard Maosi