
Friday, January 17th, 2025
BI TAIFA – GRACE WAMAITHA
Grace Wamaitha, 24, ndiye anabahatika kutupambia tovuti yetu sasa. Yeye ni mwanahabari kutoka kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kusafiri akitazama mandhari na kusoma vitabu. BONIFACE MWANGI|TAIFA